Tangazo La kazi
Tangazo la Kazi:
Mwajiri: Gin Investment Waste Management Company Limited
Nafasi: 01Dereva wa Toyo
Vigezo:
• Awe na uzoefu wa kuendesha vyombo vya miguu mitatu
• Awe na leseni ya muda sio chini ya miaka miwili
• Akiwa amewahi kufanya kazi kwenywe magari ya taka ni kigezo cha ziada
Maombi yatumwe kupitia gininvestment@yahoo.com au yafikishwe katika ofisi zetu zilizo Jet Lumo.
Mawasiliano : 0718 607 545 au 0715 938 988
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 20.8.2023.