TANGAZO LA NAFASI YA KAZI. GIN INVESTEMENT LIMITED inatangaza nafasi ya kazi katika Tawi la Mwanza. – Nafasi ya wakusanya mapato idadi ya watu watano (5) – Waombaji wawe na Elimu ya Ngazi ya Cheti katika chuo kitacho tambulika. SIFA ZA MWOMBAJI 1. Awe na uwezo wakufanya kazi chini ya usimamizi. 2. Awe na uwezo mzuri wa mawasiliano katika uandishi na kuongea 3. Awe na uwezo wa kufanya kazi na kujituma katika kundi la watu kwa kushirikiana 4. Awe Mtanzania kuanzia miaka 20 5. Awe na uwezo wa kufanya kazi kwa ufanisi zaidi 6. Awe na uwezo wa kuwa mbunifu na kujitua katika kuboresha kazi zetu 7. Awe Mwaminifu na asiyekuwa na tuhuma zozote za wizi au kesi. VIAMBATANISHO: 1. Vyeti vya shuel na chuo 2. CV 3. Barua ya kuomba nafasi tajwa kwenye tangazo. Tuma kwenye: Email: gininvestment@yahoo.com Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 21/08/2023 saa kumi jioni.

SHARE

Leave comment

Subscribe to our Newsletter!

Sign up to receive environmental news and updates!