Tangazo la Kazi:
Mwajiri: Gin Investment Waste Management Company Limited
Nafasi: 02 Madereva
Vigezo:
• Awe na utaalamu wa Magari yote
• Awe na leseni ya muda sio chini ya miaka mine
• Akiwa amewahi kufanya kazi kwenywe magari ya taka ni kigezo cha ziada
Maombi yatumwe kupitia gininvestment@yahoo.com au yafikishwe katika ofisi zetu zilizo Jet Lumo.
Mawasiliano : 0718 607 545 au 0715 938 988
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 28.3.2023.